Rais JPM awaagiza ma-RC kuwanyang’anya hati miliki wasioendeleza mashamba

575
0
Share:

Rais wa Tanzania Dk. John Magufuli amefanya kikao cha pamoja na wakuu wa mikoa nchini ambapo kupitia kikao hicho ametoa maagizo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwataka wawanyang’anye mashamba makubwa watu wasioyaendeleza, zaidi waweza kusoma taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu kuhusu kikao hicho.

Share:

Leave a reply