Rais Magufuli afanya uteuzi wa Majaji 10 wa Mahakama Kuu

171
0
Share:

Rais John Magufuli amefanya uteuzi wa Majaji 10 wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Naibu Mkurugenzi wa Mashitaka.

Amefafanua kuwa amefanya uteuzi wa Majaji wa Mahakama Kuu kwa lengo kujaza nafasi za Majaji waliostaafu.

Share:

Leave a reply