Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa NHIF

486
0
Share:

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bernard Herzon Konga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).

Share:

Leave a reply