Rais Magufuli afuta agizo la Waziri Mwakyembe

798
0
Share:

Siku moja baada ya Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe kaugiza kuwa kuanzia mwezi Mei kila mtu ambaye atakuwa anafunga ndoa lazima awe na cheti cha kuzaliwa ili kujiridhisha kuwa watu hao ni Watanzania, Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli ametengua agizo hilo.

Share:

Leave a reply