Rais Magufuli aivunja Bodi ya Wakurugenzi ya NHC

105
0
Share:

Rais Dkt. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Blandina Nyoni.

Pia Rais Magufuli ameivunja Bodi ya NHC kuanzia leo Machi 21, 2018.

Share:

Leave a reply