Rais Magufuli amjulia hali Mzee Francis Maige Ngosha

778
0
Share:

Rais John Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wamewajulia hali wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akiwepo Mzee Francis Maige Ngosha na mtoto Shukuru Kisonga ambaye alikuwa akiishi kwa kula maziwa, sukari na mafuta ya taa.

Share:

Leave a reply