Rais Magufuli amlilia Mzee Samweli Sitta, atuma salamu kwa Spika Job Ndugai

395
0
Share:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi kwa  Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai kufuatia kifo cha mbunge mstaafu Mzee Samweli Sitta aliefariki dunia nchini Ujerumani…

Taarifa ya Ikulu mapema leo Novemba 7.2016

Tazama picha za kumbukumbu wakati Rais alipomtembelea Mzee Sitta kumjulia hali mnamo Septemba 19.2016, Jijini Dar e Salaam (Picha kwa hisani ya blog ya IKULU)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel Sitta (Enzi za uhai wake) mara baada ya kumjulia hali jijini Dar es Salaam.

Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel Sitta akiongoza Sala mara baada ya kujuliwa hali na Rais Dkt. John Pombe Magufuli.kushoto ni Mke wa Mzee Sitta, Mama Margaret Sitta

Share:

Leave a reply