Rais Magufuli amuapisha Chiku Gallawa kuwa Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe

376
0
Share:
Chiku Gallawa

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli mapema leo amemuapisha  Mh. Chiku Galawa (Pichani) kuwa Mkuu wa Mkoa mpya wa Songwe,  Tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa na viongozi mbalimbali wa Serikali.

Chiku Gallawa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Luteni Mstaafu Chiku Gallawa kuwa Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016.

rais ikulu

Bonyeza hapa kushuhidia tukio hilo.

Chiku Gallawa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshuhudia Luteni Mstaafu Chiku Gallawa akiweka sahihi katika hati ya kiapo mara baada ya kuapa kuwa Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016.

Chiku Gallawa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisaini hati ya kiapo cha Luteni Mstaafu Chiku Gallawa mara baada ya kumuapisha kuwa Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016.

Chiku Gallawa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi  Luteni Mstaafu Chiku Gallawa  mara baada ya kumuapisha  kuwa Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016.
Chiku Gallawa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Luteni Mstaafu Chiku Gallawa  baada ya kumuapisha  kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016.
Chiku Gallawa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Luteni Mstaafu Chiku Gallawa  mara baada ya kumuapisha  kuwa Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016. Kulia ni mume wa Mkuu huyo wa Mkoa Bw. Juma`Boma na kushoto ni bintiye.
Chiku Gallawa
Mkuu wa mkoa mpya wa Songe Luteni Mstaafu Chiku Gallawa.(PICHA NA IKULU).
Share:

Leave a reply