Rais Magufuli apokea ujumbe kutoka kwa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni

394
0
Share:

Rais Magufuli amepokea barua kutoka kwa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni iliyowasilishwa na Mjumbe Maalum Sam Kutesa ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda.

Pamoja na kupokea barua hiyo, Rais Magufuli amefanya mazungumzo na Waziri Kutesa kuhusu namna watakavyoimarisha na kukuza uhusiano katika maeneo mbalimbali.

Share:

Leave a reply