Rais Magufuli atekeleza ahadi ya Mil 60 kwa waliohudhuria mkutano wa CWT

368
0
Share:

Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Desemba 15, 2017 amekabidhi sh. milioni 60 kwa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) zilizopatikana kupitia harambee ya papo kwa papo aliyoifanya baada ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa CWT uliofanyika katika ukumbi wa Chimwanga Mjini Dodoma.

Share:

Leave a reply