Rais Magufuli ateua Mnadhimu Mkuu wa JWTZ

74
0
Share:

Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Meja Jenerali Yakubu Hassan Mohamed kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

Share:

Leave a reply