Rais Magufuli atia saini nyaraka za msamaha alioutoa siku ya Uhuru

271
0
Share:

Rais Magufuli ametia saini nyaraka za msamaha alioutoa jana kwa wafungwa 61 waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa na wawili Nguza Viking (Babu Seya) na Johnson Nguza (Papii Kocha) waliohukumiwa kifungo cha maisha jela.

Share:

Leave a reply