Rais Magufuli awasilisha fomu yake ya tamko kuhusu rasilimali na madeni

315
0
Share:

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amewasilisha fomu yake ya tamko kuhusu rasilimali na madeni katika Ofisi ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma iliyopo Mtaa wa Ohio, Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam.

Baada ya kuwasilisha fomu hiyo amemtaka Kamishna wa Maadili Jaji Mstaafu Harord Nsekela kutopokea fomu ya kiongozi yeyote ambaye atakuwa hajawasilisha tamko lake ifikapo Desemba 31, 2017.

Share:

Leave a reply