Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete atembelea Maonesho ya Sabasaba

300
0
Share:
Rais msataafu wa Serikali ya awamu ya nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akiuliza jambo kwa Afisa wa Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini juu ya utendaji kazi mbalimbali wa shirika hilo.
Rais msataafu wa Serikali ya awamu ya nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akiuliza jambo kwa Afisa wa Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini juu ya matumizi ya gesi katika uendeshaji wa mitambo ya magari.

Rais msataafu wa Serikali ya awamu ya nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiangalia moja ya bidhaa zinazotengenezwa na wajasiriamali wakati alipofanya ziara ya kutembelea maonesho ya kimataifa ya sabasaba.

Mjasiriamali ambaye hakujulikana jina lake akimueleza jambo Rais Mstaafu Mh. Dkt. Jakaya Kikwete jinsi ya kutengeneza bidhaa mbalimbali wakati wa maonesho ya biashara ya kimataifa yanayoendelea jijin Dar es Salaam jana.
Rais msataafu wa Serikali ya awamu ya nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katikati akiangalia moja ya bidhaa zinazotengenezwa na wajasiriamali wakati alipofanya ziara ya kutembelea maonesho ya kimataifa ya sabasaba.

Mke wa Rais wa Awamu ya tatu mama Anna Mkapa akimsikiliza Rais Msataafu ya awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete wakati wa maonesho ya kibiashara ya kimataifa yanayoendelea jijini Dar es Salaam. Kwa hisani ya www.habari360.com

Share:

Leave a reply