Rais Mstaafu wa Nigeria, Obasanjo apongeza utendaji kazi wa Rais Magufuli

599
0
Share:

Rais Mstaafu wa Nigeria, Olusegun Obasanjo amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli kwa kuonyesha mfano bora katika Bara la Afrika katika kusimamia uchumi na kutetea maslahi ya nchi katika uwekezaji.

Share:

Leave a reply