Ratiba ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA, leo Jumanne

475
0
Share:

Ligi ya Mabingwa barani Ulaya (UEFA Champions League) inataraji kuendelea leo usiku kwa michezo miwili ya raundi ya 16 bora ambapo washindi wataingia katka hatua ya robo fainali.

Michezo ya leo usiku ni;

Atletico Madrid – PSV

Manchester City – Dynamo Kyiv

Michezo yote itachezwa saa 22:45 kwa saa za Afrika Mashariki.

Share:

Leave a reply