Ratiba za michezo ya Klabu bingwa Ulaya hipo hapa, kupigwa usiku huu

345
0
Share:

Wiki hii kwenye soka kuna mfululizo wa matukio ya soka yenye kutia mshawasha hasa kwenye Ligi ya Mabingwa wa Ulaya (UEFA CHAMPIONS LEAGUE). Usiku wa leo Septemba 13.2016 watazamaji kupitia DSTV watapata uhondo kabambe kutoka kwa klabu za Arsenal, Manchester City, FC Barcelona na FC Bayern zitatufungulia pazia katika kampeni ya kuutaka ushindi katika mechi zao za ufunguzi.

Hii ni ratiba nzima ya mechi zote za Ligi ya Mabingwa bara la Ulaya zitakazo chezwa leo:

Barcelona vs Celtic SS7 saa 3:45 Usiku

PSG vs Arsenal SS3 saa 3:45 Usiku

Manchester City vs Borussia Monchengladbach SS5 saa 3:45 Usiku

PSV vs Atletico Madrid SS2 saa 3:34 Usiku

Bayern Munich vs Rostov SS6 saa 3:45 Usiku

Benfica vs Besiktas SS Maximo saa 3:45 Usiku

Basel vs Ludogorets channel 197 saa 3:45 usiku

Dynamo KYIV vs Napoli Channel 198 saa 3:45 Usiku

05_ucl_fix_13-14sep1

 

Share:

Leave a reply