Semina ya kujadili masuala ya kodi kwenye sekta ya vinywaji vyenye kilevi yafanyika Dar

274
0
Share:
Pichani juu ni Baadhi ya wadau mbalimbali waliohudhuria kwenye mkutano wa Alcoholic Drinks and  Beer Sector Taxation Workshop uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam, wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa kwenye semina hiyo.
mkutano 7
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru, (kushoto) akizungumza  wakati wa uzinduzi wa semina hiyo ambapo alikuwa mgeni rasmi. Kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group ,Roberto Jarrin , wa pilia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Tanzania (SBL) Kalpesh Mehta na Mkurugenzi Mkuu wa Heineken Tanzania, Michael Mbungu.
mkutano 10
Mkurugenzi  Mkuu wa TBL Group, Roberto Jarrin akizungumza jambo wakati wa mkutano wa Alcoholic Drinks and  Beer Sector Taxation Workshop, uliofanyika jana katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam.
Michael Mbungu

Mkurugenzi Mkuu wa Heineken Tanzania, Michael Mbungu, akifafanua jambo wakati wa mkutano wa  Alcoholic Drinks and  Beer Sector Taxation Workshop , uliofanyika jana katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni  Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Tanzania (SBL) Kalpesh Mehta, Christopher Mgifi kutoka Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji na Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group, Roberto Jarrin.

mkutano 15

Baadhi ya wadau mbalimbali waliohudhuria  kwenye mkutano wa  Alcoholic Drinks and  Beer Sector Taxation  Workshop uliofanyika jana katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam, wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa kwenye semina hiyo.

mkutano 18

mkutano 1

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru, (kushoto) akibadilishana mawazo na  Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group, Roberto Jarrin  wakati  wa semina ya kujadili masuala ya kodi kwenye sekta ya vinywaji iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam.

mkutano 3

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kilimo,Maji na Mifugo Dk.Mary Nagu (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group, Roberto Jarrin  wakati  wa semina ya kujadili masuala ya kodi kwenye sekta ya vinywaji iliyofanyika  jana katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam.

mkutano 20

Baadhi ya wadau wakuu walioshiriki katika semina hiyo wakiwa katika picha ya pamoja.

Share:

Leave a reply