Serikali yaanza kutoa leseni za machapisho, wamiliki watakiwa kuwa na leseni mpya

326
0
Share:

Serikali imesema imeanza utekelezaji wa kifungu cha 5(e) cha Sheria ya Huduma za Habari 2016 ya kutoa leseni za machapisho mbalimbali ikiwemo magazeti na majarida yote nchini na hivyo kuwataka wamiliki wa magazeti na majarida ambao wana usajili wa zamani kuhakikisha hadi Oktoba, 15 wamekamilisha taratibu na kupatiwa leseni mpya.

Share:

Leave a reply