Serikali yalifungia gazeti la Raia Mwema kwa siku 90

261
0
Share:

Serikali imelifungia gazeti la Raia Mwema kwa muda wa siku 90 kwa kutunga nukuu za uongo dhidi ya Rais katika toleo namba 529.

Share:

Leave a reply