Serikali yapiga marufuku wanafunzi kufukuzwa shule kwa kigezo cha wastani

76
0
Share:

Wizara Elimu imepiga marufuku kufukuza au kumhamisha mwanafunzi aliyefanya na kufaulu mtihani wa la darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne kwa kigezo cha kutofikia wastani wa ufaulu wa shule husika.

Share:

Leave a reply