Serikali yapongeza Sekta Binafsi kwa kuwekeza katika Utalii

348
0
Share:

VP1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi wa Hoteli ya Ramada encore Abdul Ismail (kushoto),wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa Hoteli hiyo leo Jijini Dar es Salaam.

VP2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Milanzi (kulia) wakiwa katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Hoteli hiyo leo Jijini Dar es Salaam.

7

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Butiama Mhe. Nimrod Mkono (kushoto) walipokutana katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Hoteli ya RAMADA encore leo Jijini Dar es Salaam.

VP4

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akielezea jambo wakati alipotembelea chumba cha mazoezi kilichopo katika Hoteli ya RAMADA encore alipokuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Hoteli hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Msaidi wa Msimamizi Msaidizi wa Mapokezi katika hoteli hiyo Bi. Janeth Leornard.

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka jiwe la msingi  la ufunguzi wa hoteli ya Ramada encore yenye hadhi ya nyota 5 jijini Dar es Salaam. Kulia Mkurugenzi Mtendaji wa Hoteli ya Ramada encore. Abdul Ismail akishuhudia tukio hilo.

19

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan( katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi waandamizi wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Uongozi wa Hoteli ya RAMADA encore wakati wa hafla ya uzinduzi wa Hoteli hiyo leo Jijini Dar es Salaam.

Share:

Leave a reply