Spika Ndugai aigiza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kujadili kauli Ole Sendeka

346
0
Share:
Job Ndugai

Spika wa Bunge Job Ndugai ameielekeza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kukutana ili kuchunguza na kujadili kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka inayotajwa kudhalilisha Bunge.

Share:

Leave a reply