Suarez aikumbuka Liverpool, awatumia ujumbe, unaweza usoma hapa

277
0
Share:

Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool ambaye kwa sasa anakipiga Barcelona, Luis Suarez ameikumbuka timu yake ya zamani ya Liverpool baada ya kufuzu kucheza fainali ya Kombe la Vilabu barani Ulaya.

Suarez aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa Twitter kwa kuwapongeza baada ya kuwafunga Villarreal 3-0 na hivyo kufuzu kucheza fainali ya UEFA Europe League.

Suarez aliandika “Hongera Liverpool kwa kuingia fainali!! Hongereni marafiki!!”

Share:

Leave a reply