Taasisi ya MUZDALIFA Zanzibar yatoa misaada kwa waanga wa mafuriko Zanzibar

191
0
Share:

Taasisi ya Muzdalifa imekabidhi michango mbalimbali ikiwemo chakula na dawa kwa Afisa msaidizi wa kambi ya wahanga wa mafuriko Makame Khatibu Makame iliopo Skuli ya Mwanakwerekwe C Mjini Zanzibar.

6Baadhi ya Madawa mbalimbali iliyotolewa. Picha na Abdallah Omar-Maelezo Zanzibar.

2Daktari dhamana kanda ya Unguja Fadhil Moh’d, akitoa shukurani kwa msaada waliopatiwa na Taasisi ya Muzdalifa

3Baadhi ya Misaada mbalimbali iliyotolewa na Taasisi ya Muzdalifa.

5 64Mwenyekiti wa Taasisi ya Muzdalifa Shekh Abdalla Hadhar Abdalla akimkabidhi Box la dawa Daktari dhamana kanda ya Unguja Fadhili Moh’d, katika Kambi ya kipindupindu iliopo Mtaa wa Chumbuni Zanzibar.

Share:

Leave a reply