Tamasha la uhondo wa Zantel lakongo nyoyo za wakazi wa Temeke

282
0
Share:

img_9228

Msanii wa muziki wa bongo flava, Seif Mwinjuma ‘Sholo Mwamba’ akiimba katika tamasha la Uhondo wa Zantel lililofanyika katika viwanja vya Temeke Mwisho, Dar es Salaam hivi karibuni ikiwa ni moja ya kampeni za kampuni ya simu ya mkononi ya Zantel kuwa karibu na wateja wake ikiwajulisha bidhaa na huduma mpya zilizopo sokoni.

img_9274

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ally Momba ‘Momba’ akionyesha umahiri wake wa kuimba katika tamasha la Uhondo wa Zantel lililofanyika katika viwanja vya Temeke Mwisho, Dar es Salaam ikiwa ni moja ya kampeni za kampuni ya simu ya mkononi ya Zantel kuwa karibu na wateja wake ikiwajulisha bidhaa na huduma mpya zilizopo sokoni.

img_9282

Msanii maarufu anayetesa na wimbo wake wa ‘segere’ Siza Mazongela akikonga nyoyo za mashabiki wake katika tamasha la Uhondo wa Zantel lililofanyika katika viwanja vya Temeke Mwisho, Dar es Salaam ikiwa ni moja ya kampeni za kampuni ya simu ya mkononi ya Zantel kuwa karibu na wateja wake ikiwajulisha bidhaa na huduma mpya zilizopo sokoni.

img_9262

Meneja Habari na Uhusiano wa Kampuni ya simu ya Zantel, Winnes Lyaro (kulia), akitoa maelezo kwa baadhi ya wakazi wa Temeke, Dar es Salaam kuhusu huduma na bidhaa  mpya zitolewazo na kampuni hiyo wakati wa tamasha lililopewa jina la ‘uhondo wa Zantel’ lililodhaminiwa na kampuni hiyo.

Share:

Leave a reply