Tamko la THBUB kuhusu zuio la mikutano na maandamano ya vyama vya siasa

271
0
Share:

Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) kuhusu zuio la mikutano na maandamano ya vyama vya siasa lililotolewa jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa THBUB, Mhe. Bahame Tom Nyanduga.

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Tom Nyanduga

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Tom Nyanduga akiwa ameambatana na Kamishna wa Tume, Mhe. Ali Rajab (kushoto) na Katibu Mtendaji wa Tume, Bibi Mary Massay (kulia) akisoma tamko la Tume kuhusu zuio la polisi la mikutano na maandamano ya vyama vya siasa mbele ya vyombo vya habari (Agosti 10, 2016). Mkutano huo na vyombo vya habari ulifanyika Makao Makuu ya ofisi za Tume, Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam.

Mhe. Bahame Tom Nyanduga

Baadhi ya wanahabari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Tom Nyanduga akitoa tamko la Tume kuhusu zuio la polisi la mikutano na maandamano ya vyama vya siasa mbele ya vyombo vya habari (Agosti 10, 2016).

Tamko La THBUB Kuhusu Mikutano Na Maandamano Ya Vyama Vya Siasa 

Share:

Leave a reply