Tamko la THBUB wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani

261
0
Share:

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) leo Oktoba 1, 2016 inaungana na watu wote duniani katika kuadhimisha siku ya wazee duniani. Wakati dunia inaadhimisha siku hii, Tume inatoa wito kwa jamii yote ya Watanzania kuondoa vitendo vyote vya unyanyasaji dhidi ya wazee. Tafadhali soma zaidi katika tamko la Mwenyekiti wa Tume lililoambatishwa hapa chini.

Tamko La THBUB_Maadhimisho Ya Siku Ya Wazee Duniani_Oktoba 1 2016 

Share:

Leave a reply