Tanzania na Kuwait za saini makubaliano ya usafiri wa Anga

228
0
Share:
Yousef Al Fozan

Yousef Al Fozan

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa   (kulia) akisisitiza jambo    kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait Mhandisi, Yousef Al Fozan, (kushoto)   aliyeongozana na maofisa wake wakati walipowasili ofisini kwake jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya  kusaini makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait.  Wapili kutoka kulia ni  Mkurugenzi wa Idara  ya Mashariki ya kati  wa Wizara hiyo,Balozi Abdallah Kilima na   Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka ua Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Hamza Johari.

Yousef Al Fozan

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kuwait, Mhandisi Yousef Al Fozan (kushoto) wakisaini hati za makubaliaono ya Usafiri wa Anga baina ya Kuwait na Tanzania, hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam, leo.

Makame Mbarawa

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kuwait ,Mhandisi  Yousef Al Fozan  (kushoto) wakielekezwa na wanasheria wao  jinsi ya  kusaini  hati za makubaliaono ya Usafiri wa Anga baina ya Kuwait na Tanzania , hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam, leo.

Yousef Al Fozan

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia)  na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kuwait, Mhandisi Yousef Al Fozan(kushoto) wakibadilishana hati za makubaliaono ya Usafiri wa Anga baina ya Kuwait na Tanzania, hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam, leo.

Makame Mbarawa

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia) akikabidhiwa zawadi na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kuwait, Mhandisi Yousef Al Fozan (kushoto)   mara baada ya kumalizika kwa hafla ya kusaini  makubaliaono ya Usafiri wa Anga baina ya Kuwait na Tanzania, hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam, leo.

Makame Mbarawa

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kuwait, Mhandisi Yousef Al Fozan  (kushoto)  akikabidhiwa zawadi na  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa   (kulia)  wakati wa hafla ya kusaini  makubaliaono ya Usafiri wa Anga baina ya Kuwait na Tanzania, hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam, leo.

Makame Mbarawa

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (wapili kutoka kushoto) akizungumza na waadishi wa habari wakati wa hafla ya kusaini makubaliaono ya Usafiri wa Anga baina ya Kuwait na Tanzania, jijini Dar es Salaam, leo.

Makame Mbarawa

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Kulia) akimsikilza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kuwait Mhandisi,Yousef Al Fozan (kushoto) wakati wa  hafla ya kusaini makubaliaono ya Usafiri wa Anga baina ya Kuwait na Tanzania, jijini Dar es Salaam, leo.

12

Baadhi ya wadau wa masuala ya usafiri wa Anga wakiwa katika hafla ya utilianaji saini ya makubariano ya usafiri wa Anga baina ya Tanzania na Nchi ya Kuwait.

13

Baadhi ya wadau wa masuala ya usafiri wa Anga  pamoja na waadishi wa habari wakiwa katika hafla ya utilianaji  saini ya makubariano ya usafiri wa Anga baina ya Tanzania na Nchi ya Kuwait. 

Makame Mbarawa

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa   (wapili kushoto) akisisitiza jambo mara baada ya kusaini makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait. Jijini Dar es Salaam,  Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya  Usafiri wa Anga  Kuwait Mhandisi  Yousef Al Fozan , watatu kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara  ya Mashariki ya kati  wa Wizara hiyo,Balozi Abdallah Kilima na  Kulia ni Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka ua Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Hamza Johari.

Yousef Al Fozan

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (wa Nne kutoka kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait Mhandisi  Yousef Al Fozan, (watano kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa usafiri wa Anga, jambo mara baada ya kusaini makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait.

Makame Mbarawa

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa  na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya  Usafiri wa Anga  Kuwait Mhandisi  Yousef Al Fozan , wakipongeza na mara baada ya kutiliana makubakliano ya Usafiri wa Anga baina ya Tanzania na Kuwait.

Share:

Leave a reply