Tanzia: Profesa Binagi afariki Dunia

559
0
Share:

Habari zilizotufikia mchana wa leo  ni kuwa Profesa Lloyd Manamba Binagi, amefariki dunia hii leo Jijini Dar es salaam. Profesa Binagi pia ni Baba Mdogo wa Mwanablog  George Binagi wa Mwanza anayemiliki Binagi Blog.

Kwa mujibu wa Binagi, taratibu za kuusafirisha mwili kwenda nyumbani kwa familia Tarime zinafanyika. “Pumzika kwa amani baba, ulikuwa nguzo muhimu kwetu, daima tutakukumbuka, Amina”. George Binagi.

 

Share:

Leave a reply