Tazama Exclusive Interview ya Vanessa Mdee

224
0
Share:

Msanii wa muziki wa Bongo Flava nchini ambaye hivi karibu ametoa kichupa kipya “NIROGE” kinachotamba kwenye Televisheni mbalimbali  za kimataifa na nchini, Vanessa Mdee amefanya mahojiano na Global TV na kukanusha shutuma za kumchukulia Jack Patrick mpenzi wake..Itazame hapa chini.

Share:

Leave a reply