Tazama hapa (live) mchezo wa Yanga VS MO Bejaia, kipindi cha pili sasa

205
0
Share:

Mchezo wa kundi A kati ya Yanga ya Tanzania na Mo Bejaia ya Algeria unachezwa muda huu nchini humo ambapo hadi sasa ni kipindi cha pili. Yanga ipo nyuma kwa bao moja walilofungwa kipindi cha kwanza cha mchezo.

Tazama hapa kuona mtanange huo:

https://youtu.be/HACNm7Ps4w4

Share:

Leave a reply