Tazama hapa Mijadala ya Bunge leo Mei 9, Unajua Mbunge wako amezungumza nini?

303
0
Share:

SIMU.TV: Mbunge wa Ndada Mhe.Davidi aamua kuitolea serikali uvivu kufuatia wanawake kituo cha Chiwale kujifungulia kwenye wodi za kawaida.https://youtu.be/f5hHHgWQ2YM

SIMU.TV: Mhe.Riziki Shahari aihoji serikali juu ya wajawazito kuzalishwa na wataalam wa kiume ikilinganishwa na mila na desturi za Kiafrika. https://youtu.be/KFR46gY6eIA

SIMU.TV: Mbunge wa Muheza Mhe.Adad aitaka serikali kueleza lini itajenga viwanda Muheza ili wakulima waweze kunufaika na mazao yao.  https://youtu.be/9VdOGXy7bvg

SIMU.TV: Je ni lini serikali itaacha kuagiza toothpick kutoka nje? Sikiliza jinsi Mhe.Mwijage anavyodadavua majibu ya swali hilo. https://youtu.be/byNPFvaKI6Q

SIMU.TV: Sikiliza alichokisema Mhe.Nape Nauye alivyoelezea dhamira ya serikali juu ya ujenzi wa vituo vya michezo ya riadha mkoani Manyara.    https://youtu.be/9E0xEumSim4

SIMU.TV: Mh.Bashungwa (Karagwe) ahoji mikakati ya serikali kuhakikisha benki za TIB na TADB zinatekeleza kwenye utekelezaji wa ilani ya CCM; https://youtu.be/FHSc6F3voFU

SIMU.TV:  Mbunge wa Kilindi Mhe.Kigua aitaka serikali kupeleka ofisi ya TRA wilayani Kilindi ili wananchi waweze kulipa kodi kikamilifu;https://youtu.be/kKdAHTlQWv0

SIMU.TV: Mbunge waTunduru Mhe.Idd Mpakate aitaka serikali kutoa fedha kwaajili ya ukamilishaji wa miradi ya maji;https://youtu.be/ez92dShDtao

Share:

Leave a reply