Tazama picha saba jinsi mvua ilivyoharibu daraja, mazao na nyumba, Kigoma

314
0
Share:

Wakazi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji wamekuwa katika kipindi kigumu kutokana na mvua ambazo zimekuwa zikinyesha katika mkoa huo kuwa na madhara kwa wakazi wa mkoa huo kwa kuharibu nyumba, kuvunja madaraja na hata kuharibu mazao mashambani. Mo Dewji Blog imekuandalia baadhi ya picha ambazo zinaonyesha hali ilivyo mkoani humo.

DSC03581

Daraja la kwa Jaffar lililopo eneo la soko kuu mjini Kigoma likiwa limebomoka na kulazimika barabara ya Kaya inayopita katika daraja hilo kufungwa kufuatia mvua kubwa zilizonyesha usiku wa kuamkia jana na kuathiri madaraja mbalimbali ya Mfereji wa Lubengera ambao hutumika kupitisha sehemu kubwa ya maji taka ya mji huo yanayokwenda kuingia Ziwa Tanganyika. (Picha na Emmanuel Senny)

DSC03582

11

Moja ya nyumba iliyopo eneo la Katubuka katika Manispaa ya Kigoma ikiwa imejaa maji baada ya kunyesha mvua kubwa mkoani humo

12

13

Kigoma Mvua

Share:

Leave a reply