Tazama picha za mastaa 10 wa soka walivyosherekea ‘National Puppy Day’

286
0
Share:

Jana Machi, 23 ilikuwa siku watoto wa mbwa (National Puppy Day) ambapo siku hiyo huazimishwa duniani kusherekea kuhusu watoto wa mbwa, puppy.

Mo Blog imekuandalia picha za mastaa 10 wa soka ambao wameonekana kusherekea siku hiyo ya puppy day.

12599088_1506087646363251_599473353_n

Lionel Messi – Barcelona na Argentina

924889_263158690509739_47559976_n

Mesut Ozil – Arsenal na Ujerumani

10706835_1482159018722044_466776778_n

Neymar Jr – Barcelona na Brazil

10895274_624301667673814_1514923023_n

Aaron Ramsey – Arsenal na Wales

11202990_127834050892844_1007245701_n

Andre Schurrle - VfL Wolfsburg na Ujerumani

11372259_1451251688505176_915698129_n

Toby Alderweireld – Tottenham Hotspur na Ubelgiji

11373736_881287865253030_1332901787_n

Memphis Depay – Manchester United na Uholanzi

11374166_1453919114936094_1339620252_n

Cristiano Ronaldo – Real Madrid na Ureno

12383306_1020828157963951_1219417063_n

Alexis Sanchez – Arsenal na Chile

CXLTF4-WYAAWWn4

Erik Lamela – Tottenham Hotspur na Argentina

Share:

Leave a reply