TCRA yazifungia nyimbo 15, mbili za Diamond Platnumz

322
0
Share:

Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imepiga marufuku nyimbo 15 kuendelea kurushwa katika vyombo vya habari kwa kuwa na maudhui ambayo ni kinyume na maadili na Kanuni za Huduma za Utangazaji (Maudhui) 2005.

Share:

Leave a reply