TEF kumchunguza RC wa Arusha, Mrisho Gambo

509
0
Share:

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limesema linafatilia kwa karibu uhusiano wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na vyombo vya habari kutokana na kuwepo kwa matukio ya kudhalilisha wanahabari wawapo kazini kwa amri yake.

Share:

Leave a reply