TFF yamuita Wambura kujitetea

311
0
Share:

Kamati ya Rufaa ya Maadili ya TFF imemuita aliyekuwa makamu wa Rais wa TFF, Michael Wambura ambaye alifungiwa maisha kujihusisha na soka kwenda kujitetea kuhusu rufaa aliyoikata.

Share:

Leave a reply