Tigo waadhimisha Karume Day na wateja wake

305
0
Share:
Mkadam Khamis Mkadam

Mkadam Khamis Mkadam

Kamishna Msaidizi wa jeshi la polisi Tanzania,  Mkadam Khamis Mkadam, Kamanda wa Polisi mkoa wa mjini Magharibi, Unguja, akimkabidhi Bwana Nadim Ibrahim mkazi wa Malindi zawadi kutoka Tigo katika maadhimisho ya Karume day, katika ofisi za Tigo Unguja, Zanzibar.

Mkadam Khamis Mkadam

Kamishna Msaidizi wa jeshi la polisi Tanzania Mkadam Khamis Mkadam, ambaye ni Kamanda wa Polisi mkoa wa mjini Magharibi, Unguja, akimkabidhi Bi.Fauzia Mohamed Hassan mkaazi wa Fuoni zawadi kutoka Tigo katika maadhimisho ya Karume day, katika ofisi za Tigo Unguja, Zanzibar.

 

Share:

Leave a reply