TRA yakusanya trilioni 3.65 katika robo ya kwanza ya 2017/2018

321
0
Share:

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2017/2018 (Julai hadi Septemba) imekusanya shilingi trilioni 3.65.

Share:

Leave a reply