TRA yakusanya Tsh. Trilioni 7.87 kuanzia mwezi Julai hadi Desemba, 2017

120
0
Share:

Mamlaka ya Mapato (TRA) imetangaza kukusanya Tsh. Trilioni 7.87 kuanzia mwezi Julai hadi Desemba ndani ya mwaka wa fedha 2017/2018 ikilinganishwa na Sh. Trilioni 7.27 ambazo zilikusanywa kipindi kama hicho katika mwaka wa fedha wa fedha 2016/2017 ambacho ni sawa na ukuaji wa asilimia 8.45.

Share:

Leave a reply