Uchambuzi wa Habari za Magazeti ya leo Agosti 13, 2016 tazama hapa

237
0
Share:

SIMU.tv:  Magufuli: Kasi yangu ni hatari, maandalizi ya UKUTA yaanza kushika kasi, Mrema: Nipo tayari kushirikiana na CCM, JPM: nitageuza Ikulu jumba la maonyesho.Pata dondoo za magazeti ya leo hapa; https://youtu.be/qbBBKK9F6iQ

SIMU.tv:  JPM: Nitageuza Ikulu jumba la maonyesho, Magufuli : Narejesha CCM ya Nyerere, JPM atangaza kiama cha mafisadi CCM, wakopaji elimu ya juu wapewa tahadhari. Pata dondoo za magazeti ya leo hapa; https://youtu.be/R1u3bosfwjU

SIMU.tv:  Magufulia aibua dili chafu CCM, UKUTA wa CHADEMA waendelea kupanda, sakata la kupasua kichwa badala ya mguu yahamia China, ACT-yampinga Magufuli kwa barua; https://youtu.be/gMaOYgA8rfU

Share:

Leave a reply