Uchambuzi wa Mchezo England na Wales, EURO 2016 (Video)

239
0
Share:

Michezo ya Uefa Euro 2016 inataraji kuendelea leo kwa michezo mitatu, mchezo wa mapema ukiwa ni wa ndugu wawili, England na Wales, mchezo utakaopigwa katika dimba la Stade Bollaert-Delelis lililopo jiji la Lens, Ufaransa na kuchezeshwa na refaFelix Brych kutoka nchini Ujerumani.

Mo Blog kwa kushirikiana na mchambuzi wa michezo, Olle tunakueletea uchambuzi wa mchezo huo, unaweza utazama hapa.

Share:

Leave a reply