Ukumbi wa Litostar Park Mbezi Salasala wazinduliwa

613
0
Share:

Matukio ya halfa ya uzinduzi wa ukumbi wa Litostar Park Mbezi Salasala katika picha.

BO1

Mkurugenzi wa LitoStar Park Mbezi Salasala Bw. Thomas Mbega akigonganisha glasi na wageni waalikwa waliofika kwenye uzinduzi rasmi wa ukumbi huo uliopo Mbezi Salasala katika hafla iliyofanyika ukumbini hapo na kuhudhuriwa na waalikwa mbalimbali kutoka makampuni na watu binafsi ili kujumuika pamoja na kufurahia ukumbi huo wenye mandhari ya kipekee ambao umezinduliwa hivi karibuni jijini Dar es salaam.

BO2

Mkurugenzi wa LitoStar Park Mbezi Salasala Bw. Thomas Mbega akigonganisha glasi na wageni waalikwa

bo14

Mkurugenzi wa LitoStar Park Mbezi Salasala Bw. Thomas Mbega akimshukuru Mungu kwa kumfikisha hapo alipofikia na kumshukuru mjenzi wa jengo hilo pamoja na wafanyakazi na wageni waalikwa kwa jinsi ambavyo wamejali na kumsaidia katika shughuli zake.

bo12

Meneja Masoko na Mauzo Litostar Park Mbezi Salasala, Bw. Borry Mbaraka (kulia) akipozi kwa picha na wadau wa Litostar waliohudhuria katika uzinduzi huo.

BO3

Wageni waalikwa mbalimbali wakipata kinywaji katika hafla hiyo.

Litostar Park Mbezi Salasala

Wageni waalikwa wakisikiliza hotuba ya Mkurugenzi wa LitoStar Park Mbezi Salasala Bw. Thomas Mbega wakati apolikuwa akizungumza nao katika uzinduzi huo.

BO4

Vinywaji vya aina tofauti vinapatikana Litostar.

BO5

BO7

Mandhari ya ukumbi wa Litostar unavyoonekana kwa ndani.

BO8

Share:

Leave a reply