Usiku wa Wanyarwanda nchini Tanzania kufanyika leo Julai 9, ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar

220
0
Share:

Shirika la ndege la RwandAir likishirikiana na Jumuiya ya Wanyarwanda waishio nchini Tanzania wanakukarubisha kwenye usiku wa Tamaduni za Rwanda, utakaofanyika  jioni ya leo Julai 9, 2016 katika Ukumbi wa Mw. Nyerere, Jijini Dar es salaam. Kutakuwepo na ngoma ya asili kutoka Rwanda na wenyeji hapa Tanzania.

…Njoo ujionee na ujifunze mengi zaidi baina ya nchini hizi mbili.

Share:

Leave a reply