Uwanja wa Ndege wa Singapore Changi watajwa kuwa uwanja bora duniani

471
0
Share:

Tovuti ya utafiti wa anga ya Skytrax ya nchini Uingereza imetoa orodha ya viwanja vya ndege bora duniani ambapo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Singapore Changi umeshika nafasi ya kwanza.

Orodha ya viwanja 10 vinavyoongoza kwa ubora ni;

1. Singapore Changi Airport
2. Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Incheon (Seoul, Korea Kusini)
3. Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Tokyo Haneda)
4. Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hong Kong
5. Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hamad (Doha, Qatar)
6. Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Munich (Ujerumani)
7. Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chubu Centrair Nagoya (Japan)
8. Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa London Heathrow
9. Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zurich (Switzerland)
10. Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Frankfurt (Ujerumani)
Share:

Leave a reply