Vanessa Mdee Azindua App

398
0
Share:

Mwanamuziki wa kike anayefanya vizuri hapa nchini na kimataifa, Vanessa Mdee amezindua programu tumishi (app) yake ambayo itakuwa na taarifa mbalimali kumhusu yeye pamoja na kampuni yake ya Mdee Music.

Vanessa amesema programu tumishi hiyo itakuwa ikipatikana katika PlayStore kwa watumiaji wa simu na tablet zenye mfumo wa Adroid na Apple Store kwa watumiaji wa simu na iPad za kampuni ya Apple.

 

Share:

Leave a reply