VIDEO: Alichosema Haruna Niyonzima baada ya sare ya Mlandege FC

2505
0
Share:

Mchezaji wa Simba, Haruna Niyonzima akizungumza kuhusu mchezo wa kirafiki wa Mlandege ambao umeisha kwa sare ya 0-0, mchezo huo ni maandalizi ya mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya wapinzani wao Yanga utakaopigwa Agosti, 23 katika Uwanja wa Taifa Dar.

Share:

Leave a reply