VIDEO: Amazon kutumia teknolojia ya drone kufikisha mizigo kwa haraka

720
0
Share:

Kampuni ya Amazon ambayo inafanya biashara mtandaoni imeanzisha njia mpya ya kuhakikisha mizigo inawafikia wateja wake kwa haraka tofauti na ilivyo sasa ambapo baadhi ya mizigo imekuwa ikitumia muda mrefu kufika.

Amazon imetengeneza drone ‘ndege ndogo’ ambazo zitakuwa zikitumika kusafirisha mizigo ya wateja na itakuwa inapeleka mzigo hadi sehemu ambayo mteja yupo baada ya kufika inashusha chini na kurejea katika ofisi za Amazon zilizopo eneo hilo.

Zaidi waweza tizama video hii hapa chini jinsi drone ya Amazon inavyosafirisha mzigo.

Share:

Leave a reply