VIDEO: Dk. Abbas alivyotangaza kulifunga gazeti la Mawio kwa miaka miwili

289
0
Share:

Alhamisi ya Juni, 15 Serikali ilitangaza kulifunga gazeti la MAWIO kutochapishwa kwa muda wa miezi 24, sababu ikitajwa kuwa ni kuchapisha mbele picha ya Marais wastaafu, Mkapa na Kikwete na kuwahusisha na sakata la mchanga wa madini. MO Blog imekuwekea video ya Mkurugenzi Mtendaji wa Habari-MAELEZO, Dk. Hassan Abbas akitangaza kulifunga gazeti hilo.

Share:

Leave a reply